Uncategorized

FURSA KUMI BORA TANZANIA NAMBA 10

on

Fursa ya kumi ni Sayansi na teknologia


Mkurugenzi wa clouds Entertainment bwana Ruge Mutahaba akielezea hii fursa alisema kwamba siyo ya moja kwa moja lakini inatengeneza wigo mpana wa  biashara zingine, Inahitaji kucheza na muda kuangalia muda kujua ni watu wanapenda kimtandao pia dunia inaelekea wapi kwa upande wa teknologia. kwa mfano kuingia katika mfumo wa 4G ambayo ndio dunia ilipo lazima nchi itahamia hivyo hivyo wewe kama mjasiriamali ni vyema kuangalia hii fursa. Kampuni kama Alibaba kwa china na dunia nzima inafanya vizuri sana, pia kwa hapa nchini kampuni kama Maxmalipo.
itafika mahali kila kitu kitalipwa kwa kutumia simu ya mkoni pia watu watasoma kwenye simu na komputa kwanzia primary hadi university.


Endelea kuwa karibu nami ili kujua zingine 9,8,7,6,5,4,3,2,1 alizozisema bwana RUGE MUTAHABAMtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *