Uncategorized

FOOD THAT INCREASE SPERM COUNT(VYAKULA VINAVYOONGEZA MBEGU ZA KIUME)

on

1.GARLIC(KITUNGUU SWAUMU)

This rich allicin which aid to improve blood circulation in the body.Also promote proper blood circulation within the male genitalia and strengthen the sperms. It have vitamin B6 which control secreation of sex hormone and prevent sperms demage.

Vitunguu saumu huweza kusaidia mzunguko wa damu kuwa mzuri katika mwili wako hasa hasa katika maeneo ya via vya uzazi vya mwanaume. Hufanya mbegu za kiume kuwa na ngumu pia ina vitamini B6 ambayo huzuia mbegu za kiume kuharibika.

2.BANANA(NDIZI)

Banana contain bromelain which is an enzyme that control  sex hormones. Also banana contain vitamin A, B1 and C which enable testosterone to increase sperm production and enable body to have stamina.

Ndizi husaidia kuongoza homoni za uzazi za mwanaume pia ina vitamin A,B1 na C ambayo husaidia katika uzalishaji wa mbegu za kiume na kuufanya mwili kuwa na nguvu.

3.DARK CHOCOLATE


This help to increase semen volume plus sperm count. It help a man to have better orgasm.

Husaidia kuongeza ujazo wa manii pamoja na wingi wa mbegu za kiume.  

4. SPINACH
This have folic acid that raises sperm count .It also strengthen sperm nature as well as its motiliy.

Ina madini ya folic acid ambayo huongeza mbegu za kiume pia ukimbiaji wa mbegu hizo saa ya tendo.

5.NUTS (KARANGA)

This aid in rising semen volume and  sperm production also it have ormega 3 fatty acid that promote blood circulation in the penis.

hii usaidia kuongeza ujazo wa manii pia uzalishaji wa mbegu za kiume huongezeka.  

6.EGG(YAI)

Eggs aid in sperm production also contain vitamin E which prevent tissue degradation of testicles.

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *