Health&Food

Faida 6 za kutumia mafuta ya nazi kiafya.

on

 

1. Mafuta yake yana tabia ya dawa hivyo hayaumizi mwili wa binadamu.

2. Hupungua uzito katika mwili wa binadamu.

3. Huangamiza bacteria wanaoshambulia mwili.

4. Hupunguza njaa na kukufanya wewe kula kiasi kidogo cha chakula.

5. Hupunguza degedege

6. Huzuia nywele kuharibika na kufanya ngozi kuwa laini.

Source; authoritynutrition.com

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *