Health&Food

FAHAMU UGONJWA WA KIFAFA

on

 

KIFAFA NI NINI?

Huu ni ugonjwa ambao husabashwa na umeme ulioko ndani ya ubongo ambao ndiyo hutumika kupeleka taarifa mbalimbali katika mwili kuzidi ndani ya ubongo na kusabisha shoti ndani ya ubongo.

AINA ZA KIFAFA.

Kifafa ambacho hutokea sehemu moja mfano kwenye kidole au mdomoni ambapo mtu huona kidole au mdomo unatikisika sehemu ya upande wa kulia au kushoto bila yeye kutaka.

Kifafa ambacho hutokea mwili mzima, mtu huanza kujisikia vibaya alafu apoteza fahanu kisha anaanguka chini baada ya kuanguka misuli inakakamaa kwa sekunde chache alafu inaachia.

Kifafa kingine ni kile ambacho hutokea pale ambapo unafanya kazi unapoteza fahamu kwa sec. 3 alafu zinarudi tena na kuendelea na unachokifanya.

DALILI

Kupoteza fahamu

Kujikojolea

Kukakamaa

Kuanza kugeuza macho

Kuona watu ambao hawaonekani

Kusikia sauti bila ya mtu yeyote kusikia.

Kuwa na makovu katika pande la uso

VITU VINAVYO SABABISHA KIFAFA

Kichanga kupata jeraha kichwani wakati wa kuzaliwa

Kuwa na uvimbe kwenye ubongo ndani ambao hautakiwi

Kupata ajali na kuumia sehemu ya kichwa

Pombe

MATIBABU YA KIFAFA

Mtu akianguka usimguse kabisa. Mguse pale ambapo ameanguka katika sehemu hatarishi kama moto

Tafuta kitu kama kijiko kisha zungushia nguo alafu weka katika meno yake ili asing’ate ulimi

Muwekee kitu chini ya chingo au nyanyua kichwa chake ili kuhakikisha anapoanza kukamaa agongi kichwa chini na kupata majeraha.

Hesabu amekakamaa mara ngapi na ilikuwa saa ngapi.

Mfunike na blangeti ili kuepusha baridi

mchukue na mpeleke hosipitalini

Huko hospitali atapewa dawa kama;

phernobabitone,diazepam n.k

 

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *