Health&Food

Fahamu maana dalili na matibabu ya ugonjwa wa amoeba

on

Huu ni ugojwa ambao husababishwa na bakteria aitwaye Ectamoeba Histolika ambaye huishi katika kinyesi cha mwanadamu. Ugonjwa huu huweza kuhathiri hadi uti wa mgongo pamoja na ubongo hivyo kupelekea mtu kupata matatizo ya akili pamoja na mgongo.

NJIA ZA KUPATA

kula matunda bila kuosha

kutokunawa mikono baada ya kutoka chooni

kula chakula bila kuosha mikono

kunywa maji yasiyochemshwa


WATU AMBAO WAPO HATARI KUPATA HAYA MARADHI NI;

Wasafiri

Mashoga

Wanafunzi

wafanya biashara sokoni

Huanza kupata maradhi pale ambapo unakunywa au kula kitu ambambo kimechanganyika na hawa bacteria kisha wanaenda katika utumbo mdogo wanazaliana kuwa mwengi baadaye wanashuka katika utumbo mkubwa na kuanza kushambulia mwili. wakikua huishi katika kinyesi cha binadamu kisha hutolewa kwa njia ya haja kubwa na kuishi katika artdhi kwa muda wa wiki nne.

DALILI ZAKE
Tumbo kuuma kwa chini

kuharisha choo kilichochanganyika na kitu kama kamasi

kupungua uzito

homa

utumbo mkubwa kutanuka

MATIBABU

Iodoquinol hutumika kuuwa cyst

Metronidazole, Tinidazole hizi ni ant biotics ambazo hutumika kuuwa hawa wadudu

Kuwekewa drips kama mtu ameharisha sana ili kuhakikisha anapata maji na madini aliyopoteza


Mtokambali 728x90

Recommended for you

1 Comment

  1. nehemia ngumba

    August 22, 2016 at 8:50 am

    Nimeelewa sana juu ya ugonjwa huo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *