Cellebs

fahamu Historia ya kundi la Elani kutoka Kenya

on

 

Hili ni kundi lililoanzishwa mwenzi wa kwanza mwaka 2008 huko Nairobi Kenya likiundwa na wasanii kama Wambui Gungi, Maureen Kunga, Brian Chweya na Daniel Kimani wakiwa wakiimba miondoko ya Afropop ilipofika mwaka 2011 kwenda 2012 waliamua kuwa makini ya kupeleka muziki wao katika hatua kubwa.

Mwaka 2013 Elani walitoa nyimbo iliyotamba sana iliyoitwa “Jana Usiku”  kisha 2014 wakatoa nyimbo yao inayoitwa “milele” ambayo video shooting  walifanya chini ya Sol music Entertainment na kuongozwa  na director Enok Olik kisha mwishoni mwa 2014 wakatoa “kookoo” mpaka sasa wameimba nyimbo kama hatua, zuzu, uko wapi, Barua ya dunia na Mahindi kisha mwaka huu 2016 Elani wamemshirikisha Jose Chameleone nyimbo inaitwa “my darling”

Tarehe 12 mwenzi wa kwanza 2016 waliongea katika you tube channel yao pamoja na account zao za social media kwamba ambaye atatumia miziki yao bila idhini yao watamtoza faini ya shillingi za Kenya 31000

wanaalbamu moja na maweshinda tuzo moja kati ya mbili walizoshiriki. tuzo waliyoshinda ni AFRIMA kama nyimbo bora ya pop Africa mashariki kookoo

 

Mtokambali 728x90

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *