Cellebs

Fahamu Harakati za Joseph Kusaga na Uanzilishi wa Clouds Media Group

on

Ni  mwanzishi na mmiliki wa Clouds Media Group Alianza maswala ya Burudani akiwa O-Level kidato cha pili akiwa anafanya kazi ya DJ’s katika klabu mbalimbali bwana Joseph Kusaga ameoatia elimu yake  Tanzania, akiwa katika maswala ya burudani aliona inalipa kisha kuamua kuingia katika ujasariliamali huo rasmi, Motolagip club ndio club ya kwanza bwana Kusaga kufanya kazi kisha alifungua klabu ya pili inayoitwa Twiga kisha New Africa ambazo zilikuwa Morogoro, Mwanza, na Arusha.

Baada ya hapo vision yake ikawa ni kufanya maswala ya Burudani tuu, Wakaanza kuandaa matamasha mbalimbali ya wasanii kufanya maswala ya  Burudani tuu, Miaka 14 iliyopita walianzisha Clouds Media Group kiini cha chake kilikuwa ni Mawingu studio Arusha na maana ya CLOUDS(Cool, Loveble, Outrage Unique Dynamic Sound) Bwana Kusaga anasema ” Mungu anasema ukiweza Kujituma naye anakupa” pia wazazi wake wamemsaidia sana katika mafanikio yake na kufikia malengo yake.

Anasema kwamba if you think what you wanna do is good, go ahead do it Ruge na yeye walipata changamoto sana kwa sababu ya Umri wao ulikuwa mdogo sana hivyo ilikuwa ni vigumu kupewa kibali cha kuanzisha redio. Walianza na milioni 40 kama mtaji wa kwanza kisha kukuza mtaji wao kidogo kidogo.

Clouds Media Group huwa hawaajiri mtu kwa kuangalia vyeti vyake kipaumbele chao ni Kipaji tuu, Falisafa yao ni kutengeneza mastaa pia clouds ndio redio ambayo inalipa mshahara mzuri kushinda media zingine Tanzania. Kwa sasa wana wafanyakazi zaidi ya 235

Kwa sasa anamiliki Clouds Fm, Choice Fm, Clouds TV, Coconut Fm Zanizibar pia ni mmliki wa Primetime promotion ambayo hushughulikia wasanii pia wanamiliki mtandao wa Tanzania Box.

Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *