Uncategorized

Dogo Mfaume akiri kutumia dawa za kulevya

on

      Akihojiwa katika kipindi cha XXL katika kipengele cha mbili tano tano kinachorushwa na Clouds Fm Dogo mfaume aliyetamba na ngoma yake ya kazi yangu ya dukani iliyompatia tuzo ya KTMA kasema kwamba ametumia madawa ya kulevya yaani miadarati kwa muda wa miaka miwili na nusu na kueleza sababu zilizompelekea na zinazopelekea yeye kutumia miadarati ni pamoja na kutembea na makundi ya marafiki wabaya pia mapenzi pindi anavyomtaka msichana n.k vilevile amesema madhara aliyoyapata ni pamoja na kushindwa kuandika nyimbo na uvivu kumzidi zaidi. Kwa sasa ameaweza kuachana na utumiaji wa madawa ya kulevya na kurudi katika shughuli zake za muziki.
    Kwa sasa ametoa nyimbo yake mpya ambayo inakwenda kwa jina la “madawa”

Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *