LifeStyle

Dalili 5 ambazo zinaonesha mfanyakazi huyu ni wa pekee katika kampuni yako

on


1. Hufikiria zaidi ya majukumu uliyompangia.

Kampuni inapokuwa chini zaidi, ndio kunakuwa na umuhimu wa mfanyakazi  kufikira zaidi na zaidi, kuchanganua mambo haraka pia kuchukua hatua zaidi hata kama hatua zake zinakiuka ulichompangia. Pale ambapo mfanyakazi muhimu anakuwa hatarini mfanyakazi wa kipekee hujua tatizo bila hata kuambiwa na huchukua hatua bila kuuliza.

2. Huwa wa tofauti.

mfanyakazi wakipekee hufanya vitu kwa kutumia akili yake huweza kuhamisha malengo ya kampuni kiasi kwamba wafanyakazi wote huweza kuyaelewa na kutekeleza bila kuhuzunika kwa furaha na busara zaidi.

3. Hujua muda wa kutawala kwa kutumia uelewa wao wenyewe.

Pale ambapo kampuni inakutana na changamoto mbalimbali zinazoweza kuwafanya wafanyakazi kuingia katika hofu yeye hurudi na kukaa na wenzake ili kupata suluhisho, mfanyakazi wa pekee hujua muda wa kucheza na muda wa kuwa makini, muda wa kuuliza na muda wa kukaa kimya.

4. Huwapongeza wengine hadharani.

Mfanyakazi wa kipekee hujua mchango wa wefanyakazi wenzake na huwapongeza mbele ya mkuu, na wafanyakazi wengine kwa ujumla.

5. Huuliza maswali ambayo wengine hawaulizi.

Wafanyakazi wengine hukaa kimya kwenye vikao na hata wakiwa na wenzao, Pale ambapo wafanyakazi wengine wananyamaza yeye husimama na kuuliza maswali katika mada ambayo ni muhimu na inahitaji majibu. huwaonyesha uongo wanye wasiwasi kuhusu hilo.

Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *