Entertainment

Belle 9 afunguka kitu kuhusu yeye na G nako ( Warawara)

on

Msanii kutoka mji Kasoro bahari Morogoro  hit maker wa ngoma kama Sumu ya penzi na nilipe nisepe kijana Belle 9 amefunguka katika EATV  kwamba baada ya kutoa ngoma pamoja na msanii G nako kutoka Weusi kampuni kama Bagger Movie Selfie pamoja na Give it me wameona kwamba ngoma hizo zimefanya poa sana na kuona kwamba wanachemistry nzuri hivyo wameamua kuja tena na ngoma ya maole  kwa sababu wanatarajia kutoa albamu ya pamoja.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *