Uncategorized

HISTORIA YA SHEDY CLEVER

on

Amezaliwa katika mkoa wa Tabora mwaka 1990  ni mmiliki wa BURN RECORD amefanya nyimbo na wasanii wengi sana hapa bongo. kama Diamond. Ney wa mitego , Daina, Rich Mavoko 

Shedy clever mwanzoni alikuwa hana wazo la kuwa producer alikuwa akipenda sana kuimba na kucheza na kujikuta anaingia katika UDJ  kipindi hicho alikuwa akisoma katika shule ya sekondari Mwinyi pale Tabora kidato cha kwanza.

Akiwa na washkaji zake Ezza waliokuwa wakipiga katika Ukumbi wa Muungano Messa kambi ya wanajeshi kila siku za sikukuu walikuwa wakifanya kazi pale. Kuna studio moja Tabora ilikuwa inaitwa STUDENT CENTER ambapo wazungu walikuwa wakienda kurekodiwa.

Mtu aliyemsababisha na kupenda nyao zake ni Master Jay alikuwa anapenda sana touch zake na kumshawishi yeye kufanya uproducer kama kazi.

Alikuwa akitoroka shule na kwenda hapo studio na baadaye wenzake walimcheka lakini Ezza alimshauri na kumwambia anakipaji sana na kumwambia asikate tamaa.

Alihamia Dar es salam baada ya mama yake kuhamia Dar pia kikazi. Nyimbo yake ya kwanza kufanya ni ya swagga zangu ambayo aliimbwa na PNC na NAY WA MITEGO. baadaye alifanya nyimbo ya Daina na Barnaba inayoitwa Nivute kwako.

Rich Mavoko alifanya naye nyimbo tano ambazo hakulipwa hata kumi.Baada ya muda Rich Mavoko alikuja na project mpya na hiyo ni MARRY ME ambayo ndiyo nyimbo ambayo alilipwa na Mavoko.

Alikuja kufanya project tena na MATONYA ya Zilipendwa ambayo ikamfanya awe nominated katika KTMA.

Alikaa kimya kwa muda na kuwa afanye nini ili ajulikana zaidi? alianza kuona maprojucer wengi wakinakili style zake. Baadaye alikutana na DIAMOND PLATNUMZ na kufanya ngoma ya Number one ambao alichukuwa muda wa mienzi sita kukamilika.

Alimpigia simu diamond na kumwomba afanye ngoma naye DAI alikuja na kusikiliza midundo yake na baadaye alikuja na kukubali kufanya naye ngoma bila usumbufu wa aina yeyote. Baada ya Number one alifanya project nyingine 

Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *