Entertainment

Man Fongo amedondocha video mpya Safi tuu

on

Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu pia kuingia katika malumbano na producer wa Defatality music Mesen Selekta Man Fongo ambaye anajiita mfalme wa Kisingeli amerudi mubashara na ngoma yake hii hapa inaitwa Safi tu icheki hapa

 

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *